ABOUT US



HACREF FINANCE LIMITED ni kampuni inayokua kwa haraka sana kutokana na kutoa huduma zinazogusa jamii. Kampuni imeonekana ya tofauti kutokana na kutoa huduma nzuri kwa Mkopo. Huduma za mkopo huiwezesha jamii kufurahia maisha leo ambayo wangeyaishi miaka mingi ijayo. Ni kutokana na umuhim wa kujali jamii, kampuni hii imeonekana kuwa ni TUMAINI LA JAMII.  Kampuni ina ungozi imara, ina wafanyakazi wenye weledi katika fani mbalimbali na wale ambao wana moyo wa kuendeleza tumaini kwa jamii.

Ili kutoa mikopo endelevu kampuni inaamini kuwa inapaswa kufanya yafuatayo:
1. Kushauri wafanyabiashara - Kwa kutoa ushauri wa Biashara
2. Kutafuta tekinolojia rahisi kwaajili ya kuongeza uzarishaji
3. kutafuta mitaji ya uwekezaji kabla ya kutoa mikopo kwa wateja
3. Kutoa mafunzo juu ya usimamizi wa masoko, wafanyakazi, pesa, mali na biashara kwa ujumla
huduma zetu zinaonekana katika bidhaa mbalimbali mfano:

(i) Mikopo
(ii) Ushauri wa Biashara
(iii) Usajili wa Kampuni na NGOs
(iv) China-Tanzania Techno Link
(V) MSV Entrepreneurs N.K

No comments:

Post a Comment