LOANS

Tunatoa mikopo kuanzia 1,000,000/- mpaka 1,000,000,000/- kwaajil ya matumizi yafuatayo;

(I) Biashra ,

Yaani unatumia pesa ya mkopo kununua bidhaa kwaajili ya biashara yako.

(II) Asserts & Investment;

Yaani unatumia mkopo kununua Mitambo, Magari na vifaa mbalimbali kwa matumizi ya Biashara

(III) Kilimo

Unatumia pesa ya mkopo kununua pembejeo za kilimo na kujenga miundombinu ya klimo cha kisasa.

1 comment:

  1. Hatua za kufuata ili nipate mkopo ni zipi tafadhali. Nina uhitaji huo

    ReplyDelete